Serikali inasambaza huduma za usajili wa vitambulisho vya kitaifa mashinani hususan kwa kaunti zilizoko mipakani. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa shughuli ya siku kumi ya usajili wa vitambulisho vya kitaifa kupitia simu za rununu katika Kaunti ya Pokot Magharibi, inayolenga wakazi ambao hawana hati hio muhimu. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, amesema shughuli hiyo inalenga zaidi ya watu laki moja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive