13 May 2026 10:38 am | Citizen TV 176 views Duration: 1:38 Serikali inasema imeweka mikakati ya kuimarisha huduma za afya ya jamii kupitia kuboresha usafiri wa wahudumu wa afya nyanjani.