Skip to main content
Skip to main content

Serikali yasema itachapisha vitambulisho vipya milioni tatu kufiki Juni

  • | Citizen TV
    5,121 views
    Duration: 1:59
    Serikali imeripoti ongezeko la utoaji wa vitambulisho, ikisisitiza umuhimu wa stakabadhi za uraia katika utambuzi wa raia na upatikanaji wa huduma, huku ikianzisha mfumo mpya salama na wenye uwajibikaji zaidi. Vitambulisho zaidi ya milioni 4.1 vimetolewa katika miaka mitatu iliyopita, huku milioni 1.6 vikitolewa miezi sita iliyopita . Kulingana na katibu wa idara ya uhamiaji Belio Kipsang, serikali pia imeondoa mfumo wa kamati uliolalamikiwa kwa ubaguzi na kuwapa machifu jukumu la uthibitishaji, huku vyombo vya usalama vikiendelea kufanya uhakiki wa ziada