8 Dec 2025 10:35 am | Citizen TV 224 views Duration: 1:46 Katibu wa Wizara ya elimu, Julius Bitok, amewahakikishia walimu wa sekondari msingi kwamba serikali itawapa ajira ya kudumu kunzia mwaka ujao wa kifedha.