2 Dec 2025 1:35 pm | Citizen TV 286 views Duration: 1:02 Serikali ya Kenya, kwa ushirikiano na Traverze Culture, kampuni ya uhamishaji inayomilikiwa na waamerika wenye asili ya Afrika imezindua rasmi mpango wa kuwarejesha nyumbani maarufu Journey Back to Eden (JBE).