- 1,830 viewsDuration: 2:19Wizara ya Biashara na Viwanda imeshusha kiwango cha ubora wa mafuta yanayoagizwa nchini kwa muda wa miezi sita ijayo hadi Oktoba ili kuhakikisha upatikanaji wa mafuta nchini kufuatia misukosuko inayoshuhudiwa. Uamuzi huo unafuatia ombi kutoka Wizara ya Kawi pamoja na wadau wa sekta hiyo walioathiriwa na changamoto ya kupata mafuta yanayokidhi viwango vya sasa.