Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatakiwa kufadhili kilimo kisichotumia kemikali

  • | Citizen TV
    71 views
    Duration: 1:57
    Kundi moja la wakulima latoa wito kwa serikali kuongeza ufadhili wa kutosha katika kilimo cha kimazingira, likitaja faida kubwa za kiafya na kimazingira zitakazopatikana kutokana na kilimo hicho.