29 Oct 2025 10:30 am | Citizen TV 196 views Duration: 1:07 Katibu wa Wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo ameeleza kuwa usalama ya mitihani ya kitaifa inayoendelea umedhibitiwa ambapo kufikia sasa hakuna visa vya utovu wa usalama vimeripotiwa kote nchini.