29 Oct 2025 10:18 am | Citizen TV 110 views Duration: 1:48 Idara ya Afya kwa ushirikiano na shirika la Msalaba mwekundu imetangaza kutoa chanjo ya kipindupindu katika maeneo ya Transmara Magharibi na Kusini kuanzia leo.