- 4,198 viewsDuration: 3:07Wakazi wanaoishi katika nyumba zilizoko kwenye mikondo ya mito kwenye nyanda ya chini ya Bwawa la Nairobi wametakiwa kuhama mara moja huku serikali ikianza mpango wa kubomoa majengo yaliyoko kwenye mikondo ya mito katika ndani ya siku 14. Hatua hiyo inafuatia hofu ya bwawa hilo kuvunja kingo zake baada ya mafuriko ya hivi karibuni. Zoezi la kuweka alama kwenye majengo yanayotarajiwa kubomolewa linatarajiwa kuanza Jumatano.