- 418 viewsDuration: 1:26Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewaonya vikali wanaopanga kuzua vurugu wakati wa uchaguzi mdogo hapo kesho. Kulingana na Murkomen , idara ya usalama iko macho kumtia nguvuni atakayevunja sheria za uchaguzi huku akiwataka wapigakura kuondoka vituoni mara tu watakapomaliza kupiga kura.