Serikali yazindua mpango wa fidia wa migogoro kati ya binadamu na wanyamapori

  • | TV 47
    14 views

    Serikali yazindua mpango wa fidia wa migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.

    Mpango huo unapaniwa kurahisisha malipo kwa jamii zilizoathirika.

    Waziri Miano amesema mfumo huo unatumia ukusanyaji data kwa wakati halisi.

    Wizara hiyo inatazamiwa kuzindua mpango wa kufidia nchi nzima.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __