Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua rasmi ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya Nzamba Kitonga

  • | NTV Video
    20 views
    Duration: 1:33
    Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya ulinzi kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya kitui imezindua rasmi ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya nzamba kitonga katika wadi ya mutitu/kaliku, kitui mashariki, mradi unaotarajiwa kugharimu shilingi milioni mia mbili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya