Serikali za kaunti zajadili gharama ya juu ya umeme nchini

  • | Citizen TV
    196 views

    Kongamano la mawiziri wa kawi kutoka kaunti 47 lineingia siku ya pili hii Leo kaunti ya Makueni huku gavana wa Makueni mutula kilonzo jr akisema gharama ya kawi nchini ni ya juu mno na inaathiri utendakazi wa serikali za ugatuzi.