Skip to main content
Skip to main content

Shamba la ekari 19 za miwa lachomeka Yala Kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    475 views
    Duration: 3:01
    Wakazi wa Yimbo eneo Bunge la Alego Usonga wameghadhabishwa na tukio la uhuni la kuchomwa kwa ekari 19 za miwa katika shamba la Lake Agro lililoko katika kinamasi cha Yala viungani mwa mji wa Siaya. Ni kitendo kilichowaacha wakazi na wakulima na mshangao, wakihofia kuwa kitendo hicho huenda kikamfurusha mwekezaji katika shamba hilo.