Kwa wageni huwa ni bahati kubwa kushiriki moja kwa moja kwenye shamrashamra za kuuaga mwaka unaomalizika na kuukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China. Safari hii Pili akiwa na wageni wenzake watatu Nora, Mike na Gilian wakiambatana na mwenyeji wao Masika wameuaga mwaka wa Nyoka na kuukaribisha mwaka Farasi kwa mtindo wa kipekee. Je shamrashamra hizi zilikuwaje, usingoje kuhadithiwa fuatilia ili ujionee mwenyewe!
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News