- 19,796 viewsDuration: 28:11Wapatanishi wa Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mkataba wa kusitisha mapigano huko Gaza. Makubaliano hayo yanaoungwa mkono na Marekani yalitiwa saini nchini Misri, na yatapelekea kuachiliwa huru kwa mateka wote wa Israel na kuachiliwa kwa wafungwa wa kipalestina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw