- 39,135 viewsDuration: 1:44Kulikuwa na Shangwe na vigelegele katika baadhi ya barabara Zanzibar hadi usiku wa manane huku wafuasi wa mgombea wa CCM na rais mteule Dkt Hussein Ali Mwinyi wakisherehekea ushindi wake. - @sammyawami alishudia shamra shamra hizo kisiwani na ametuandalia taarifa hii ....#tanzania #dirayaduniatv #uchaguzi2025 #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw