Skip to main content
Skip to main content

Sherehe ya talaka

  • | BBC Swahili
    11,657 views
    Duration: 1:16
    Mwanamke mmoja nchini Korea Kusini amezua gumzo baada ya kuandaa sherehe maalumu kusherehekea talaka yake. Cho Seung-yeon, mwenye umri wa miaka 37, ni mama anayelea mtoto bila mwenza na mtayarishaji wa maudhui mtandaoni. Anasema hakutaka kuichukulia talaka kama kushindwa, bali mwanzo mpya wa maisha yake. Lakini kwa nini aliamua kusherehekea kuvunjika kwa ndoa yake hadharani? Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw