Sheria mpya hospitali

  • | Citizen TV
    2,468 views

    Hospitali zote za rufaa nchini zitahitajika kuwa na kamera zaidi za CCTV huku wanaowapeleka wagonjwa hospitali wakilazimika kujitambulisha. Haya ndio maagizo mapya ya waziri wa afya Aden Duale aliyezuru hospitali ya Kenyatta baada ya vifo vya wagonjwa wawili katika muda wa miezi mitatu iliyopita