Skip to main content
Skip to main content

Shindano la kilimo lahimiza mbinu za kisasa na ubunifu mashambani

  • | Citizen TV
    152 views
    Duration: 3:38
    Kilimo cha kutumia mashine na maandalizi sahihi ya ardhi bado ni muhimu katika uzalishaji wa mazao humu nchini. Ili kuhamasisha wakulima kuhusu mbinu za kisasa za kilimo na kuwapa ujuzi, Shirika la Maonyesho ya kilimo liliandaa shindano ambapo wakulima, wanafunzi na wadau wengine walishirikishwa. Mashindano hayo yalionyesha ubunifu katika maandalizi ya mashamba