Shirika la Huria latoa ripoti kuhusu dhulma kwa wanawake

  • | Citizen TV
    88 views

    Shirika la kutetea haki za binadamu la HURIA limetoa ripoti mbili zinazofichua ukiukaji wa haki za binadamu katika Kaunti ya Kwale kuhusu masuala ya urithi wa ardhi kwa wanawake na unyakuzi wa bandari ndogo za samaki.