- 242 viewsDuration: 2:07Maafisa wa Shirika la IGAD Gender kwa usaidizi wa serikali ya Japani waliwakutanisha wanawake katika Kambi ya Umoja, Kaunti ya Samburu ambapo walifanya majadiliano kuhusu ujumuishaji wa wakazi wa mpakani na changamoto zinazowakabili wanawake katika eneo la IGAD.