- 509 viewsDuration: 2:23Shirika la kutetea haki za kibinadamu la ICPS pamoja na aliyekuwa spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire wameishtumu serikali kwa kile wanachokidai kuwa utepetevu katika wizara ya maswala ya kigeni baada ya kuripotiwa kwa ongezeko la visa vya wakenya wanaofariki katika nchi za uarabuni wanakofanya kazi na kuzikwa kuko huko bila idhini ya familia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya