Skip to main content
Skip to main content

Shirika lisilo la serikali laandaa warsha ya wanawake Turkana na kuwapa huduma za afya

  • | Citizen TV
    203 views
    Duration: 3:34
    Katika juhudi za kuimarisha afya ya wanawake wafanyabiashara, shirika moja lisilo la kiserikali limeandaa warsha maalum katika maeneo ya Kakuma na Lodwar kaunti ya Turkana. Warsha hiyo ikiwalenga akina mama zaidi ya mia moja waliokuwa wamepata mafunzo ya biashara, huku wakipatiwa huduma muhimu za afya ili kuhakikisha wanaendesha biashara zao wakiwa na afya bora na kuepuka mzongo wa mawazo kazini.