- 107 viewsDuration: 2:07Shirika lisilo la serikali limeanzisha kampeni kubwa ya uhifadhi na upandaji miti katika msitu wa Aberdare. Kampeni hii ya kulinda Mazingira inalenga kuhamasisha jamii ambazo zimezunguka msitu huo wenye chemchemi nyingi na kando ya mito mikubwa ya aberdare.