- 8,162 viewsDuration: 7:47Shughuli nzima ya maombolezo na mazishi sasa imehamia kaunti za Kisumu na Bondo ambapo umma watapata fursa ya kuutazama mwili wa Hayati Raila Odinga imeandaliwa jijini Kisumu. Maandalizi ya kumpa mkono wa buriani aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga yameshika kasi katika uga wa Jomo Kenyatta ambapo waombolezaji wanatarajiw akufurika hapo kesho. Katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo amesema uwanja huo utasalia wazi kuanzia leo jioni, ili kutoa nafasi kwa waombolezaji kufika kwa wakati unaofaa.