- 4,221 viewsDuration: 2:34Mkutano wa kwanza wa dharura kuhusu uhaba wa mafuta nchini uliofanyika tarehe 9 mwezi Machi huku stakabadhi zikionyesha kuwa, wiki mbili baada ya mkutano huo, mafuta yaliyooagizwa tayari yalikuwa yanashushwa katika kampuni ya Kenya Pipeline mjini Mombasa. Mwanahabari wetu Melita Oletenges sasa anadadisi muda huu mfupi wa kuagiza na kupokea mafuta nchini unaoonekana kana kwamba ni shughuli ambayo huwa imepangwa mapema.