Shule Kajiado zaanza mpango wa kilimo shuleni

  • | Citizen TV
    583 views

    Mpango wa kilimo cha chakula kwa wanafunzi umeanzishwa katika baadhi ya shule kaunti ya Kajiado ili kuhakikisha kuwa wanafunzi hawahangaishwi na ukosefu wa chakula na shule zinapata pesa kutokana na miradi hiyo.