Skip to main content
Skip to main content

Shule ya Ilbisil yaadhimisha Siku ya kiswahili huku walimu wakionya kuhusu sheng

  • | Citizen TV
    766 views
    Duration: 2:53
    Katika juhudi za kuimarisha matumizi ya lugha ya Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Shule ya Wasichana ya Ilbisil imeadhimisha Siku ya Kuenzi Kiswahili kupitia shughuli mbalimbali za kitamaduni.