- 4,174 viewsDuration: 3:05Shule ya Nyabisase huko Kisii imeendelea kukadiria hasara, siku moja baada ya vurumai kati ya wanafunzi na walimu. Wasimamizi wa shule wakieleza namna mambo yalivyokuwa kabla ya wanafunzi na walimu kuanza kurushiana mawe, kwenye kisa kilichosababisha kufungwa kwa shule hiyo