Shule za aibu Tharaka

  • | Citizen TV
    906 views

    Baadhi ya hali ya shule za umma kaunti ya Tharaka Nithi wanafunzi wamelazimika kusomea kwenye shule mbovu, kukosa madawati na hata wengine kusomea chini. Hii ni hali inayoshuhudiwa katika shule sita za eneobunge la Tharaka, ambako wazazi hujisukumu kujitahidi kuhakikisha watoto wanapata elimu. Na kama Laura Otieno anavyotuarifu, taswira ya shule hizi imeibua maswali kuhusu elimu na uongozi wa eneo hili la Thraka Nithi