Skip to main content
Skip to main content

Sikitiko la familia za waliopotea | Mawakala matatani Kisii huku utekaji nyara ukizua hofu Nakuru

  • | Citizen TV
    3,773 views
    Duration: 3:41
    Familia moja kutoka eneo la Kiamokama kaunti ya Kisii inalilia serikali kuwakamata mawakala wanaodai waliwahadaa kuuza kipande cha ardhi ili kumpeleka mwana wao Qatar, ila mambo yalibadilika na safari ikaishia nchini Libya. Miezi mitano baadaye familia hii haijui aliko George Kennedy. Kwengineko katika kaunti ya Nakuru Familia ya Caroline Mokeira, mama aliyeripotiwa kutekwa Nyara huko Kitale inazidi kulilia serikali kuwapa majibu kuhusu aliko binti yao aliyetoweka tarehe 17 Mwezi Oktoba 2025.