15 Sep 2026 7:55 pm | Citizen TV 3,785 views Duration: 1:51 Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Kitare, Seme, Kaunti ya Kisumu, kufuatia kifo cha watu watano wa familia moja waliofariki katika ajali iliyotokea Jumatatu eneo la Kikopey, Kaunti ya Nakuru.