10 Oct 2025 7:34 pm | Citizen TV 526 views Duration: 1:02 Shabiki na Jamii ilizuru Kaunti ya Murang’a baada ya Simon Irungu kushinda bonasi ya zaidi ya shilingi laki tano kupitia Supa Jackpot ya Shabiki.com ya shilingi milioni 100.