- 9,671 viewsDuration: 2:17Hii ni simulizi ya bibi anayemlea mjukuu wake mwenye changamoto ya mgongowazi na kichwa kujaa maji. Sabina Mefance, mkulima kutoka Masasi mkoani Mtwara, anasimulia namna maisha yake yalivyobadilika baada ya mjukuu wake kuzaliwa na changamoto ya mgongowazi na kichwa kujaa maji. Hali hiyo imeathiri maisha yake na familia kwa ujumla, pamoja na uwezo wake wa kuendelea kikamilifu na shughuli za kilimo. Katika kipindi cha Waridi, @martha_saranga anazungumza na Sabina kuhusu usafari yake Tazama simulizi kamili kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC News Swahili. #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw