Skip to main content
Skip to main content

Simulizi za wanaume waliofanyiwa upandikizaji wa uume

  • | BBC Swahili
    19,357 views
    Duration: 1:50
    Miaka mitatu iliyopita, Tanzania ilianza kutoa aina mpya ya matibabu kwa wanaume wenye tatizo kubwa la nguvu za kiume. Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, ilianza kufanya upasuaji wa kupandikiza uume kwa mara ya kwanza katika hospitali ya umma nchini. Didi na Titi walikuwa miongoni mwa wanaume wa kwanza kufanyiwa upasuaji huo. Leo, wamekubali kusimulia safari yao, ingawa tumeficha utambulisho wao kutokana na unyeti wa suala hili. Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu amezungumza nao 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #nguvuzakiume #upandikizajiuume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw