Skip to main content
Skip to main content

S.K. Macharia amuomboleza Raila Odinga akimtaja kama ndugu, rafiki na sehemu muhimu ya maisha yake

  • | Citizen TV
    3,751 views
    Duration: 3:55
    Mwenyekiti Wa Royal Media Services Daktari S.K. Macharia amemuomboleza Raila Odinga akimtaja kuwa mtu muhimu sana katika maisha yake. Kwenye ujumbe wake, Daktari S.K. Macharia ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Raila amesema hakuwa tu ndugu na rafiki bali kiungo muhimu cha maisha yake. Mwenyekiti huyu wa Royal Media Services amesema alimjali sana odinga ambaye malengo yake ya uongozi yaliambatana na imani yake. Daktari S.K Macharia amesema familia yake imepoteza mmoja wao