3 Apr 2026 7:39 pm | Citizen TV 321 views Duration: 53s Sofapaka FC na Bandari wametoshana nguvu ya sare tasa kwenye mechi ya Ligi Kuu nchini iliyochezwa uwanjani Kasarani Annex mchana wa leo.