- 279 viewsDuration: 2:00Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi almaarufu Sonko amejitetea katika kesi ya sakata ya ardhi ya shilingi Milioni 20, akiielezea mahakama kwamba mashtaka dhidi yake ya mwaka 2015 yalitokana na msimamo wake wa kupinga ufisadi na unyakuzi wa ardhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive