24 Nov 2025 10:13 am | Citizen TV 300 views Duration: 1:43 Wanasiasa wa mrengo wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Pwani wamesema watasalia ndani ya serikali ili kutetea haki zao walizopokonywa kupitia unyanyasaji kutoka serikali za hapo awali.