Spika wa bunge la taifa, amehimiza Wakenya kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya serikali.

  • | KBC Video
    22 views

    Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amehimiza Wakenya kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya serikali licha ya miegemeo yao ya kisiasa. Akiongea wakati wa ibada ya kanisa katika kanisa katoliki la Malindi,Wetangula alisema taifa hili linahitaji kupiga hatua huku akiongeza kwamba ni wakati wa kutekeleza sera za serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News