Stara Thomas: 'Rushwa ya ngono ipo kwenye muziki'

  • | BBC Swahili
    733 views
    Katika Nyota wa Afrika Mashariki wiki hii tunamuangazia Mwanamuziki wa siku nyingi na nyota wa muziki wa zuku nchini Tanzania @stara_thomas ambaye anazungumzia harakati za muziki, maisha yake pamoja na kwanini alikuwa kimya kwa muda mrefu. - Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda @ctherineangelus amezungumza naye na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #sanaa