- 560 viewsDuration: 1:32Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye sasa ni Mwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika shirika la umoja wa mataifa la UN-Habitat, Susan Nakhumicha, amejitosa katika ulingo wa kuwania kiti cha ugavana wa Kaunti ya Trans Nzoia kwenye uchaguzi mkuu ujao.