Taarifa za Kaunti I Mhudumu wa boda bodaauawa katika barabara ya Kangundo

  • | KBC Video
    36 views

    Wahudumu wa Boda boda katika barabara ya Kangundo wamesema kuwa wanaishi kwa hofu kufuatia kuawa kwa mmoja wao na watu ambao wanadai kuwa walijisingizia kuwa wateja wao. Wahudumu hao wanashuku kuwa huenda mauaji hayo yamechochewa na kampuni zinazowauzia pikipiki kwa mikopo kwa vile mauaji hayo hufanyika tu wakati wanakaribia kukamilisha mikopo yao. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari kutoka kaunti mbalimbali nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive