11 Dec 2025 1:40 pm | Citizen TV 313 views Duration: 2:27 Wizara ya Maji imetia saini mkataba wa ushirikiano na Taasisi ya Kimataifa ya Usimamizi wa Maji—IWMI—unaolenga kuimarisha usimamizi wa maji, ufanisi wa umwagiliaji maji mashambani na utoshelevu wa chakula nchini.