- 161 viewsDuration: 1:22Wataalamu kwenye sekta ya ununuzi kutoka kaunti ya Garissa sasa watakuwa wakipokea huduma za haraka baada ya taasisi ya usimamizi wa vifaa KISM kushirikiana na kituo cha Huduma kufungua dawati kwenye kituo hicho ili kutoa huduma hizo