Takriban watu 11 wameaga dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani eneo la Nzokani, Kitui

  • | K24 Video
    148 views

    Watu zaidi ya kumi na mmoja wamefariki baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani katika eneo la nzokani kaunti ya Kitui. Inadaiwa gari walimokuwa lilipoteza mwelekeo baada ya dereva kujaribu kulipiku gari jingine na kisha kubingirika mara kadhaa.