- 6,381 viewsDuration: 20sMwanzoni, mwongoza watalii ambaye alikuwa akiendesha boti hiyo alijaribu kupunguza mwendo ili asimsumbue kiboko. Lakini kiboko alianza kuifukuza boti, hivyo walilazimika kuongeza kasi ili kuondoka eneo hilo. - Mtalii aliyerekodi tukio hilo alisema tukio hilo liliwapa hofu kubwa hasa kwa sababu alikuwa na watoto wake watatu. Kwa bahati nzuri, watu wote waliokuwa kwenye boti walifanikiwa kuondoka eneo hilo salama #bbcswahili #utaliimajini #kiboko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw