Skip to main content
Skip to main content

Tazama mabomu yalivyopiga uwanja wa ndege Yemen

  • | BBC Swahili
    33,076 views
    Duration: 34s
    Tazama namna mashambulizi ya anga yalivyopiga njia ya kurukia na kutua ndege katika uwanja wa ndege unaodhibitiwa na Wahouthi nchini Yemen Serikali ya Yemen ilifanya mashambulizi ya anga kwenye uwanja wa ndege wa Sanaa ambao unadhibitiwa na kundi la Wahouthi kwa sababu ilitaka kuzuia ndege ya Iran kutua. Wahouthi, ambao wana uhusiano na Iran, waliamini kuwa Saudi Arabia ndiyo iliyohusika na shambulio hilo kwa sababu Saudi Arabia inaunga mkono serikali ya Yemen. Kwa hiyo, Wahouthi walijibu kwa kurusha makombora. Tukio hilo lilionyesha kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyodumu miaka minne yamevunjika na kulikuwa na hofu kwamba vita vinaweza kuongezeka tena katika eneo la Yemen na Mashariki ya Kati. #bbcswahili #saudarabia #houth Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw